Stadi za lugha kuzungumza,kusikiliza, kusoma na kuandika huwawezesha wanafunzi kuwasiliana kimazungumzo na kimaandishi kwa kutumia lugha kwa ufasaha.
Kupitia kwa stadizote hizi nne, zungumzia kuhusu umuhimu wa kila stadi ya lugha kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu.
Kupitia kwa stadizote hizi nne, zungumzia kuhusu umuhimu wa kila stadi ya lugha kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu.
- Lecturer: MUKASHEMA Concessa
- Lecturer: Rukundo Desire